Vijana wanaofuvu kwa NYS kupewa kipau mbele kwa nafasi za Jeshi na Polisi

  • | West TV
    37 views
    Vijana wanaofuzu kutoka chuo cha mafunzo ya vijana wa huduma kwa taifa nys ndiyo watakaopewa kipaumbele kwenye usajili wa makurutu wa kujiunga na vikosi vya jeshi, polisi na askari wa wanyama pori na misitu