Skip to main content
Skip to main content

Vijana wataka wahusishwe kwenye masuala ya ajira mashinani

  • | Citizen TV
    133 views
    Duration: 1:48
    Baadhi ya vijana kutoka mji wa Garsen kaunti ya Tana River wameghadhabishwa na hali duni ya usafi wa mji huo na kutoa changamoto kwa serikali ya kaunti hiyo kuwapa ajira vijana hao ya kunadhifisha mji huo.