18 Jan 2026 7:34 pm | Citizen TV 479 views Duration: 1:35 Vijana wawili wamefariki baada ya kuzama kwenye bwawa lililo karibu na mto Gatara eneo la Kabete kaunti ya Kiambu. Vijana hawa wamefariki walipokuwa wakirejea nyumbani kutoka kanisani