Vijue vyuo vikuu 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025!

  • | BBC Swahili
    8,515 views
    Misri na Afrika Kusini zinatawala katika orodha ya vyuo vikuu bora zaidi ya 2,000 duniani. Nchi nyingine zilizotajwa ni Ghana, Nigeria, na Uganda ambazo nazo zimo katika orodha ya vyuo 1,000 bora kimataifa, lakini hivi hapa ndio vyuo vikuu 10 bora zaidi barani Afrika. Je, unadhani chuo gani kingine kinafaa kuingia katika orodha hii barani Afrika? Leonard Mubali anavidadavua zaidi #bbcswahili #elimu #vyuovikuubora Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw