Vikwazo vya misaada Gaza, Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    15,347 views
    Siku mbili baada ya msaada kuanza kuingia Gaza, umoja wa mataifa unasema hakuna vyakula wala huduma za afya zilizowafikia wenyeji, licha ya kupunguzwa kwa vikwazo vya Israeli kwa wiki kumi na moja. Vikwazo vya misaada na mashambulizi mapya yameleta ukosoaji mkali kutoka kwa washirika wa Magharibi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw