- 126 viewsDuration: 3:08Vincent Cheruiyot, ambaye ni mwanafunzi wa umri wa miaka 15 katika kitengo cha wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi ya Nandi Hills ametoa wito kwa wahisani kumsaidia kwa kifaa cha kumwezesha kutembea. Vincent ana ulemavu wa kimwili na kiakili hali ambayo imeathiri maisha yake ya kila siku na elimu yake. Kwa zaidi yam waka mmoja sasa ameshindwa kwenda shuleni mara kwa mara kutokana na changamoto za kutembea na vikwazo vingine. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive