Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kutoka eneo la magharibi warai viongozi kutoingiza siasa kwenye ongezeko la mafuta

  • | Citizen TV
    460 views
    Duration: 2:04
    Viongozi kutoka eneo la magharibi pia wamezamia suala hilo hilo la mafuta na kuwarai viongozi kutoingiza siasa kwenye ongezeko la mafuta. Wanasema hali hiyo imesababishwa na msukosuko katika mataifa ya mashariki ya kati kufuatia vita vya marekani na Israel dhidi ya Iran