19 Jan 2026 10:27 am | Citizen TV 303 views Duration: 1:25 Viongozi kutoka kaunti ya Garissa wamesema watashirikiana na serikali kuu kutafuta njia za kukabiliana na hali ya ukame inaoendelea kukithiri katika maeneo mengi kaunti hiyo.