Viongozi wa ANC wampigia debeazma ya Raila kuwania nafasi ya mwenyekiti AU

  • | Citizen TV
    664 views

    Viongozi wa chama cha Amani National Congress (ANC) wameunagana na viongozi wengine nchini wanaopigia upato azma ya kinara wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga kuwania nafasi ya mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika. Chama cha ANC, ambacho kiko kwenye mrengo wa Kenya Kwanza Alliance ni cha hivi punde kumpigia debe Raila.