- 2,589 viewsDuration: 2:11Viongozi wa chama cha UDA wameitetea serikali kuhusiana na gharama ya mafuta nchini wakisema kuwa hali hiyo haingeweza kuzuilika kwani imechochewa na vita vya ghuba. Viongozi hao wanasema kuwa ruzuku ya shilingi bilioni 6.2 iliyotolewa na serikali ili kudhibiti bei na kupunguzwa kwa ushuru wa vat ni ishara kuwa serikali ina nia ya kuwapunguzia mzigo wananchi