- 280 viewsDuration: 1:22Viongozi wa kidini katika Kaunti ya Nyandarua wameshutumu wanasiasa wanaoeneza semi za chuki na kikabila . Makasisi hao wamesema kuwa chuki za kikabila zinaweza kuingiza nchi katika machafuko na hivyo kuitaka serikali na Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano (NCIC) kwa ushirikiano na vyombo vingine vya usalama kuchukua hatua madhubuti badala ya kutoa onyo kwa maneno matupu.