Viongozi wa kisiasa kaunti ya Vihiga wasutwa kwa kushambulia chuo kikuu cha Kaimosi

  • | West TV
    33 views
    Viongozi wa kisiasa wameshtumiwa kwa kuingiza siasa katika usimamizi wa chuo kikuu cha friends kaimosi, hili linajiri wakati tume ya huduma za umma ikiendeleza mahojiano ya kujaza nafasi ya naibu chanzela wa chuo hicho baada ya kupandishwa hadhi kuwa chuo kikuu mwaka jana