16 Apr 2026 1:39 pm | Citizen TV 326 views Duration: 1:38 Viongozi wa kisiasa wametaka vituo vya huduma kote nchini kujumuishwa katika harakati za kutoa vitambulisho nyanjani ili kusaidia kuongeza idadi ya wapiga kura wapya