22 Dec 2025 1:40 pm | Citizen TV 516 views Duration: 1:40 Viongozi wa chama cha ODM wameendelea kushinikiza majadiliano mapya kuhusu uhusiano wa chama hicho na chama tawala cha UDA kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.