- 4,858 viewsDuration: 2:11Vuta nikuvute inaendelea ndani ya chama cha ODM kuhusu ni nani anafaa kuzungumuza kwa niaba ya chama hicho na serikali ya rais William Ruto. katibu mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna akitofautiana na viongozi wengine kuhusu msimamo wa kuunga mkono serikali .