Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani walalamikia gharama ya mafuta kupanda

  • | Citizen TV
    1,574 views
    Duration: 2:01
    Viongozi mbalimbali kaunti ya Machakos wanamtaka rais William Ruto kuzingatia maslahi ya wafanyibiashara wadogo na wahudumu wa sekta ya uchukuzi kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Wanamtaka rais Ruto aondoe ushuru kwenye bidhaa zote za mafuta ya Petroli ili kurudisha bei hiyo chini