Skip to main content
Skip to main content

Viongozi watamaushwa na ongezeko la matumizi ya mihadarati kaunti ya Garissa

  • | Citizen TV
    564 views
    Duration: 1:59
    Viongozi wa dini na wadau wengine kutoka kaunti ya Garissa wametamaushwa na viwango vya juu ya matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana eneo hilo wakati huu wa likizo ndefu.