- 821 viewsDuration: 2:46Idadi kubwa ya vitambulisho vya kitaifa vimeendelea kusalia kwenye ofisi za serikali huku zoezi la usajili wa wapiga kura likiendelea nchini. Idara za serikali sasa zikiwataka wakenya waliotuma maombi ya kupata vitambulisho kuchukua stakabadhi zao kutoka ofisi mbali mbali nchini. Ni wiki jana ambapo katibu wa usajili wa watu na uhamiaji Belio Kipsang alibaini kuwa zaidi ya vitambulisho laki nne havijachukuliwa