Wabunge kutoka ukanda wa Pwani wasema wataendelea kupigania masuala ya eneo hilo

  • | Citizen TV
    165 views

    Wabunge kutoka ukanda wa Pwani wanasema wataendelea kupigania masuala ya eneo hilo, ili kupata ufadhili wa miradi ya maendeleo katika bajeti ya mwaka ujao.