Wadau sekta ya utalii waitaka serikali kubuni mbinu zinazolenga kutumia tamaduni kukuza utalii

  • | Citizen TV
    213 views

    Wadau katika sekta ya utalii wameitaka serikali kubuni mbinu zinazolenga kutumia tamaduni kukuza utalii nchini. Wakizungumza huko Mombasa katika kikao cha kutumia jamii ya wamasai kuboresha utalii, wadau wamesema kuwa licha ya hali ngumu ya maisha utamaduni unaweza kuongeza idadi ya watalii hasa katika fuo na pia kutoa hamasa kwa wakazi