20 Jan 2026 1:22 pm | Citizen TV 163 views Duration: 2:06 Wadau wa elimu kutoka kaunti ya Homa bay sasa wameanzisha mchakato wa kuhakikisha watoto wote haswa wa kike wamerudi shuleni. Aidha wameweka hazina ambayo itasaidia watoto wasiojiweza kukamilisha masomo yao.