Ingawa bunge ilipitisha mswada wa fedha usiku wa kuamkia leo, baadhi ya wadau katika sekta ya fedha wamelitaka bunge kufanyia marekebisho kwa baadhi ya vipengele vya mswada wa fedha ili kuepusha kuongezeka kwa gharama za huduma za kifedha kwa Wakenya.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya