- 805 viewsDuration: 2:34Wafanyabiashara wa samaki katika mji wa busia wanazidi kuingiwa na hofu kufuatia kutoweka kwa mmoja wao; ahmed ibrahim ali aliyetekwa nyara miezi mitatu iliyopita na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa polisi akiwa njiani kuelekea Nairobi.