Wafanyibiashara kutoka Kaunti ya Samburu walalamikia chipuko la magenge ya uhalifu

  • | Citizen TV
    188 views

    Wafanyibiashara katika mji wa Maralal Kaunti ya Samburu, wamelalamikia kuchipuka Kwa magenge ya uhalifu yanayowavamia kwa bunduki majira ya jioni. wafanyibiashara wanalalamika kuwa wanalazimika kufunga biashara zao mapema Kwa kuhofia kuvamiwa.