20 Nov 2025 10:17 am | Citizen TV 121 views Duration: 1:35 Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo katika kaunti ya Nyamira wamepokezwa mafunzo na ujuzi wa kuimarisha biashara zao, kama njia moja ya kujiimarisha kiuchumi na kubuni nafasi za ajira nchini.