Wafanyibiashara walalamikia ukosefu wa huduma muhimu

  • | Citizen TV
    68 views

    Wakazi wa Oljororok kaunti ya Nyandarua wametoa wito kwa serikali ya kaunti kujenga vyo vya umma na mabomba ya kupitisha maji katika maeneo ya mijini