- 311 viewsDuration: 1:18Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC hatimaye imewafikisha mahakamani waliokuwa wafanyikazi 6 wa kaunti ya Homa Bay kwa kosa la ubadhirifu wa zaidi ya shilingi miliaoni 348 katika kandarasi ya ujenzi wa bunge la kaunti ya Homa Bay.