Wagombea wa kiti cha ubunge cha Kasipul waanza kampeni

  • | Citizen TV
    2,486 views

    Kinyang'anyiro cha kurithi kiti cha eneo bunge la Kasipul kaunti ya Homabay kimeshika kasi. Kiti hicho kiliachwa wazi baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Charles On'gondo Were .