21 Apr 2026 1:27 pm | Citizen TV 98 views Duration: 1:59 Wagonjwa zaidi ya 2,000 waliokuwa na matatizo ya macho wamechunguzwa na kutibiwa bila malipo katika eneo la Rumuruti, Kaunti ya Laikipia, huku wengi wao wakifanyiwa upasuaji wa utando wa jicho.