Skip to main content
Skip to main content

Wahadhiri walalamikia usimamizi wa chuo kikuu cha Nairobi

  • | Citizen TV
    208 views
    Duration: 2:20
    Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu katika chuo kikuu cha Nairobi kimetishia kuchukua hatua kali, ikiwa ni pamoja na mgomo, kutokana na mzozo wa muda mrefu wa uongozi katika taasisi hiyo. Chama hicho kinataka uteuzi wa haraka wa Makamu Chansela na naibu wake Makamu, kikionya kuwa kucheleweshwa zaidi kunaweza kuongeza hali ya sintofahamu na kudhoofisha uongozi bora wa chuo hicho.