- 406 viewsDuration: 1:47Kama njia moja ya kuimarisha usalama wa boda boda na kupunguza visa vya piki piki kuibwa katika mji wa kajiado muungano wa boda boda katika mji huo kwa ushirikiano na kampuni moja ya kuuza pikipiki umeandaa kikao cha kuhamasisha wahumudumu wa boda boda kuhusu usalama wao.