Wahudumu wa mabasi Mombasa walalamika hawana maegesho

  • | Citizen TV
    402 views

    Wamiliki Na Wahudumu Wa Mabasi Kaunti Ya Mombasa Wamewataka Madereva Kuwa Waangalifu Ili Kupunguza Ajali Katika Barabara Ya Mombasa Kuelekea Nairobi Hadi Kisumu. Wakiongea Huko Mombasa Wadau Hao Katika Sekta Ya Uchukuzi Wametaka Serikali Ya Kaunti Kuwatengea Mahali Maalum Badala Ya Kuegesha Magari Barabarani.