- 137 viewsDuration: 3:19Wajane katika kaunti ya Busia wanawarai wadau wa kilimo kuwapa mafunzo kuhusu kustawisha kilimo biashara ili kujichumia riziki. wajane wengi katika kaunti ya Busia wanataabika kwa kukosa uwezo wa kujitegemea kiuchumi kwa kukosa ujuzi wa kilimo licha yao kuwa na mashamba yenye rotuba...