Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Changamwe wataka usafi wa mazingira uzingatiwe

  • | Citizen TV
    124 views
    Duration: 2:07
    Wakazi wa changamwe kaunti ya mombasa pamoja na viongozi wanataka kampuni iliopewa majukumu ya kuendesha usafishaji wa mafuta ghafi kutimiza matakwa yao kbla ya kutekelezwa kwa mkataba mpya na serikali. wakiongea huko changamwe katika mkutano wa kukusanya maoni ulioendeshwa na kamati ya seneti na ile bunge la kitaifa kuhusu kawi wakazi hao wanashikilia kwamba sharti usalama wao kuwekwa kipau mbele, ajira na watanufaika vipi kama wakazi pamoja na kulindwa kwa mazingira.