wakaazi wa kijiji cha Opukoti, Narok Kusini waandamana kupinga hali mbovu ya barabara

  • | Citizen TV
    331 views

    Shule zinapofunguliwa wiki kesho wakaazi kijiji cha Opukoti eneo bunge la Narok Kusini wameandamana kupinga hali mbovu ya barabara kuu kutoka Opukoti kuelekea Ololulung'a.