- 248 viewsDuration: 2:49Wakaazi wa Kitengela na wanaharakati wa haki za binadamu wametoa wito wa amani, utulivu kuelekea maadhimisho ya Juni 25 ya vijana wa Gen Z waliofariki wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya