19 Nov 2025 10:15 am | Citizen TV 298 views Duration: 2:12 Huku uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 ukiendelea kubisha hodi, visa vya vurugu vinaendelea kushuhudiwa kaunti ya Bungoma, Maafisa wa polisi wakitakiwa kuwajibikia majukumu yao ipasavyo.