Wakazi Laikipia waandamana kudai haki ya Julia Njoki

  • | Citizen TV
    1,345 views

    Shughuli zilisimama mchana kutwa mjini Nanyuki kaunti ya Laikipia baada ya maafisa wa usalama kukabiliana na vijana waliojitokeza barabarani kudai haki kufuatia kifo cha julia wangui njoki mikononi mwa maafisa wa gereza.