Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Samburu waishi kwa hofu ya kuvamiwa na majambazi

  • | Citizen TV
    610 views
    Duration: 3:10
    Uvamizi na visa vya wizi wa mifugo umezuka upya katika eneo la samburu kaskazini na kuwatia kiwewe wakazi kuhusu usalama wao. Wakazi hao wanamtaka waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kuchukua hatua za dharura