Wakazi wa Busia wanavyotaabika kupata huduma bora ya afya kwa hospitali za umma

  • | West TV
    66 views
    Licha ya kuwepo vituo vya afya katika maeneo mengi ya mashinani katika kaunti ya busia, wakazi wa kaunti hiyo bado wanapitia ugumu kupokea huduma bora za afya kutokana na uchache wa wahudumu wa afya, ukosefu wa dawa na miundo msingi inayofaa. hali hii imesababisha madhara mengi kwa wagonjwa, baya zaidi likiwa wagonjwa kufariki kwa kukosa kupata matibabu kwa wakati