Wakazi wa Busia washauriwa kulinda vifaa vya umeme

  • | Citizen TV
    177 views

    Wananchi katika kaunti ya Busia wametakiwa kulinda vifaa vya umeme hasa mitambo ya transformer ili visiharibiwe na kutatiza huduma za umeme