17 Nov 2025 1:40 pm | Citizen TV 572 views Duration: 1:55 Kwa siku ya tatu mfululizo, wakazi wa Kapnyamisa katika eneo bunge la Chesumei, Kaunti ya Nandi, wameendelea kuchangisha fedha na kuikarabati barabara ya Kapnyamisa kwenda Mosoriot ambayo imeharibika .