Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Karamu walalamikia kichinjio Migori

  • | Citizen TV
    162 views
    Duration: 2:11
    Miaka mitano baada ya kukamilika kwa kichinjo cha Karamu katika Kaunti Ndogo ya Kuria Magharibi, ambacho kiligharimu mamilioni ya pesa, bado hakijafunguliwa rasmi na serikali ya kaunti ya Migori....... Ni mojawapo ya miradi kadhaa ya serikali za kaunti ambayo haitumiki licha ya kukamilika miaka kadhaa iliyopita... Wenyeji wa Karamu wanauliza ni kwanini serikali ya kaunti ya Migori haijatoa taarifa kuhusu mradi huo uliokusudiwa kutengeneza nafasi za ajira, kuimarisha biashara katika eneo hilo miongoni mwa faida nyingine.