Wakazi wa Kiamaiko walalamikia ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika ardhi ya Msikiti wa Jamia

  • | TV 47
    27 views

    Wakazi wa Kiamaiko walalamikia ujenzi wa nyumba za bei nafuu.

    Wanasema zinapaniwa kujengwa katika ardhi ya Msikiti wa Jamia.

    Rais William Ruto alipaniwa kufanya ziara Kiamaiko hii leo.

    Ziara ya Rais huenda isifanyike kufuatia mgogoro huo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __