Wakazi wa Kimilili walalamikia kutumwa kwa duka la dawa la kibinafsi na hospitali za umma

  • | West TV
    82 views
    Licha ya idara ya afya kugatuliwa kwa lengo la kuimarisha huduma kwa wananchi mashinani, wakazi katika kaunti ndogo ya kimilili wamelalamikia huduma duni kutoka hospitali za umma katika kaunti hiyo