Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kugitura Kuria West washirikiana kuimarisha shule za Chekechea

  • | Citizen TV
    240 views
    Duration: 2:27
    Wakaazi katika kijiji Cha Kugitura eneo bunge la Kuria Magharibi wameanzisha mradi wa kuimarisha miundo mbinu katika Shule za chekekea kama njia ya kuweka msingi dhabiti Kwa wanafunzi wachanga.