Wakazi wa Masol, Pokot wanufaika kutoka na mradi wa maji

  • | NTV Video
    99 views

    Baada ya miaka na mikaka ya kusubiri kukata kiu ya maji karibu nao, wakazi wa wadi ya Masol, Kaunti ya Pokot magharibi wamepata afueni. Hii ni baada ya mamlaka ya maendeleo ya eneo la bonde la kerio kuchimba visima vya maji kwa manufaa ya familia elfu tano na mifugo laki mbili. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Labaan Shabaan, mradi huu unatarajiwa kuzima uhasama wa jamii za wafugaji ambazo huzozania nyasi na maji katika mpaka wa Pokot Magharibi na Turkana.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya