Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Nyamira na Bungoma waaandamana dhidi ya hali mbovu ya barabara

  • | Citizen TV
    213 views
    Duration: 3:01
    Wakazi wa maeneo ya nyamira na bungoma walipeleka malalamishi yao barabarani kutokana na hali mbovu ya barabara. Barabara hizo zimesalia katika hali mbaya kwa miaka, licha ya rais William Ruto kutoa ahadi tangu alipokuwa naibu rais ya kutengenezwa kwa barabara hizo ziwe lami.