Wakazi wa Shanzu waandamana na kufunga barabara ya Mombasa - Malindi

  • | Citizen TV
    1,685 views

    Wakaazi wa Shanzu wamefanya maandamano na kufunga barabara kuu ya Mombasa kuelekea Malindi kwa kile wanachodai kuwa kunyimwa nafasi za ajira kwenye ujenzi wa barabara hiyo inaendelea kujengwa.