wakazi wa Silango Sanyekie Samburu East wafaidi na maji

  • | Citizen TV
    82 views

    Wakazi wa Silango Nanyekie Samburu Mashariki wamepata afueni ya maji, baada ya mradi wa maji eneo hilo kukarabatiwa.